Uwanja wa mpira nchini Burkina Faso From Wikipedia, the free encyclopedia
Uwanja wa michezo wa Dr. Issoufou Joseph Conombo. [1] ni uwanja unaotumika kwa Michezo mbalimbali uwanja huu unaopatikana huko Ouagadougou,nchini Burkina Faso. Kwa sasa unatumika hasa kwa michezo ya Soka na ndio uwanja wa nyumbani kwa klabu ya Santos. Uwanja huu una uwezo wa kubeba washabiki 25,000.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.