UsambazajiFrom Wikipedia, the free encyclopedia Usambazaji (kutoka kitenzi "kusambaa") ni kitendo cha kusambaza huduma au vitu katika sehemu mbalimbali. Usambazaji unaweza kutumia mikono, vyombo vya habari, vyombo vya moto (magari, pikipiki n.k.), mtandao n.k.
Usambazaji (kutoka kitenzi "kusambaa") ni kitendo cha kusambaza huduma au vitu katika sehemu mbalimbali. Usambazaji unaweza kutumia mikono, vyombo vya habari, vyombo vya moto (magari, pikipiki n.k.), mtandao n.k.