Kipanga
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kwa maana mengine ya jina hili angalia Kipanga (maana)
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Kipanga | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Kipanga wa Ulaya | ||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
| ||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||
Jenasi 4:
| ||||||||||||
Funga
Vipanga ni ndege mbua wa nusufamilia Accipitrinae katika familia Accipitridae. Ndege hawa ni wadogo kuliko tai na huruka upesi. Spishi nyingi zinatokea misituni na huwinda ndege na wanyama wadogo kwa kuruka haraka kutoka kitulio kilichofichwa. Wana mabawa mafupi na ya bapa, na mkia mrefu ili kuwasaidia kwenda huko na huko kati ya miti. Jike ni kubwa kulika dume. Uwezo wao wa kuona ni mzuri kabisa, mara nane ya uwezo wa binadamu.