Umbali kimwili (kwa Kiingereza: social distancing au physical distancing) ni ushauri wa kulinda afya unaotumika ili kudumisha umbali kati ya watu wakati wa maambukizo. Lengo la umbali kimwili ni kukomesha maambukizo.
Umbali kimwili ni meta mbili kati ya watu wawili. Umbali kimwili hupunguza mzunguko wa virusi katika jamii.
Umbali kimwili unatumika ulimwenguni kwa kupambana na virusi vya Corona na ugonjwa wa COVID-19.
- William Worley. 2020. « How do you say 'social distancing' in Swahili ? » Devex, 30 Machi 2020. https://www.devex.com/news/how-do-you-say-social-distancing-in-swahili-96856.
Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Umbali kimwili kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand in your browser!
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.