UmakanikaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Umakanika (kutoka Kigiriki cha Kale: μηχανική, mēkhanikḗ, yaani "ya mashine"[1][2]) ni eneo la hisabati na la fizikia linalochunguza mahusiano kati ya kani, mata na mwendo katika vitu[3]. Unagawanyika katika: umakanika kawaida[4][5][6] na umakanika kwanta.
Umakanika (kutoka Kigiriki cha Kale: μηχανική, mēkhanikḗ, yaani "ya mashine"[1][2]) ni eneo la hisabati na la fizikia linalochunguza mahusiano kati ya kani, mata na mwendo katika vitu[3]. Unagawanyika katika: umakanika kawaida[4][5][6] na umakanika kwanta.