![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/6/6c/Eleanor_Roosevelt_UDHR_%252827758131387%2529.jpg/640px-Eleanor_Roosevelt_UDHR_%252827758131387%2529.jpg&w=640&q=50)
Uhuru wa kujieleza
From Wikipedia, the free encyclopedia
Uhuru wa kujieleza ni kanuni inayounga mkono uhuru wa mtu binafsi au jamii kueleza maoni na mawazo yao bila hofu ya kulipizwa kisasi, kudhibitiwa au kuwekewa vikwazo vya kisheria. Haki ya uhuru wa kujieleza imetambuliwa kama haki ya binadamu katika Azimio la Kimataifa juu ya Haki za Binadamu na sheria ya kimataifa ya haki za binadamu na Umoja wa Mataifa.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/6/6c/Eleanor_Roosevelt_UDHR_%2827758131387%29.jpg/640px-Eleanor_Roosevelt_UDHR_%2827758131387%29.jpg)