From Wikipedia, the free encyclopedia
Ufalme wa Bunyoro linapatikana mashariki mwa Uganda na linaongozwa na mfalme (omukama)[1], kwa sasa Solomon Iguru I, ambaye ni wa 27 kwa Bunyoro-Kitara.[2]
Ufalme wa Bunyoro uliwahi kuwa na nguvu sana katika Afrika Mashariki na ya Kati kuanzia karne ya 13 hadi ile ya 19.
Zamani uchumi ulitegemea uwindaji wa tembo, simba, chui na mamba. Siku hizi Wanyoro ni hasa wakulima wanaozalisha ndizi, mtama, mhogo, yam, pamba, tumbaku, kahawa na mpunga.
Leo Wanyoro wanakadiriwa kuwa 1,400,000. Wengi wao ni Wakristo.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.