Ubertino wa Casale
From Wikipedia, the free encyclopedia
Ubertino wa Casale (Casale Monferrato, 1259 – 1329 hivi) alikuwa Mfransisko wa Italia maarufu kama kiongozi mmojawapo wa Ndugu wa Kiroho (Spirituali), ambao walishika msimamo mkali katika utawa wa Ndugu Wadogo.[1]