From Wikipedia, the free encyclopedia
Tuzo ya Pulitzer ni tuzo iliyoanzishwa na Joseph Pulitzer katika hati ya wasia yake. Tangu mwaka wa 1917 imetolewa kila mwaka na Chuo Kikuu cha Columbia katika mji wa New York kwa ajili ya maandishi hodari yanayoendeleza uandikaji habari na fasihi ya Marekani kwa jumla.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tuzo ya Pulitzer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Kuna aina mbalimbali za Tuzo ya Pulitzer:
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.