Tunguu (mmea)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Tunguu ni sehemu ya shina la mimea fulani ilio na majani manene kwa umbo wa gamba yanayohifadhi chakula. Mifano ni kitunguu, kitunguu saumu na matunguu ya mimea mingine ya ngeli Monocots. Tunguu ni tofauti na kiazi ambacho ni sehemu ya mzizi.