Tukuyu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Tukuyu ni mji mdogo na makao makuu ya wilaya ya Rungwe katika mkoa wa Mbeya, Tanzania.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Tukuyu | |
Mahali pa mji wa Tukuyu katika Tanzania |
|
Majiranukta: 9°15′0″S 33°38′24″E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Mbeya |
Wilaya | Rungwe |
Funga
Iko mita 1300 juu ya UB, karibu na mlima wa Rungwe ikitazama beseni la Ziwa Nyasa.