Tipaza
Mji wa kisasa., Mji mkuu wa Jimbo la Tipaza / From Wikipedia, the free encyclopedia
Tipaza (mwanzoni ilifahamika kama Tefessedt lugha ya Chenoua-Berber: Bazar, ⴱⴰⵣⴰⵔ) ni eneo kuu la Jimbo la Tipaza, Algeria. Wakati wa utawala wa Kiroma, ilifahamika kwa jina la Tipasa. Mji huo wa kisasa ulianzishwa mnamo mwaka 1857, na unatambulika zaidi kwa uwepo wa mabaki ya majengo ya kale pamoja na mchanga wa fukwe za bahari.