Tarafa ya Tiassalé
From Wikipedia, the free encyclopedia
Tarafa ya Tiassalé (kwa Kifaransa: département de Tiassalé) ni moja kati ya tarafa nne za Mkoa wa Agnéby-Tiassa ulioko kusini-mashariki mwa Cote d'Ivoire.
auto
Ukweli wa haraka Nchi, Wilaya ...
Tarafa ya Tiassalé | |
Eneo la Tafara ya Tiassalé. | |
Imara: 2011 | |
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Wilaya | Lagunes |
Mkoa | Agnéby-Tiassa |
Serikali[1] | |
- Prefect | Jules Gouesse |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 179,882 |
GMT | (UTC+0) |
Funga
Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 179,882.
Makao makuu ya eneo hilo ni Tiassalé.
Tarafa ya Tiassalé sasa imegawanywa katika kata zifuatazo:
- Gbolouville;
- Morokro;
- N'Douci;
- Tiassalé.