![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/0/0d/Tia_Carrere_2009.jpg/640px-Tia_Carrere_2009.jpg&w=640&q=50)
Tia Carrere
mwigizaji wa Marekani / From Wikipedia, the free encyclopedia
Tia Carrere (Jina la kuzaliwa Althea Rae Duhinio Janairo alizaliwa 2 Januari 1967) ni mwigizaji filamu wa Kihawaii, mwanamitindo na pia mwimbaji, anafahamika sana kwa jina la Cassandra kutoka katika filamu alioshirikishwa iitwayo Wayne's World na katika mfululizo wa kipindi cha TV kiitwacho Relic Hunter.
![]() | Makala haina vyanzo vya kutosha
Makala (au sehemu ifuatayo ya makala) inatoa habari bila kuonyesha vyanzo au uthibitisho wowote.
|
Ukweli wa haraka Tia Carrere ...
Tia Carrere | |
---|---|
| |
Jina la kuzaliwa | Althea Rae Duhinio Janairo |
Alizaliwa | 2 Januari 1967 Hawaii |
Kazi yake | Mwigizaji, mwanamitindo na mwimbaji. |
Miaka ya kazi | 1984-hadi leo |
Ndoa | Elie Samaha (1992-2000) Simon Wakelin (2002-2010) |
Watoto | 1 |
Tovuti Rasmi | Tia Carrere |
Funga