Theofilo wa AleksandriaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Theofilo wa Aleksandria (alifariki 15 Oktoba 412) kuanzia mwaka 384 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria (Misri) na Papa wa 23 wa Kanisa la Wakopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu. Alivyochorwa katika mafunjo. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.
Theofilo wa Aleksandria (alifariki 15 Oktoba 412) kuanzia mwaka 384 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria (Misri) na Papa wa 23 wa Kanisa la Wakopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu. Alivyochorwa katika mafunjo. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.