From Wikipedia, the free encyclopedia
Tashbiha (au tashibiha au tashbihi, kutokana na neno la Kiarabu; kwa Kiingereza: "simile") ni usemi wa kufananisha au kulinganisha mambo mawili au zaidi kwa kutumia kiunganishi, kwa mfano: kama, mathalani, mithili ya, na kadhalika.
Tamathali hiyo inaweza kuinua sentensi iwe na hadhi ya sanaa kwa jinsi inavyopendeza.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tashbiha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.