Tartu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Tartu ni mji nchini Estonia; kwa ukubwa ni mji wa pili ukiwa na wakazi 96,736 kwenye mwaka 2017[1].
Tartu ilianzishwa katika karne ya 11 kilijulikana kwa jina la Tharbata. Kaika historia yake ilijulikana pia kama Dorpat au Derpt.
Chuo Kikuu cha Dorpat / Tartu kilianzishwa mwaka 1632 ni chuo kikuu cha kwanza cha Estonia.