Tarafa za KodivaaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Tarafa za Kodivaa (Kifaransa: Sous-préfectures de Côte d'Ivoire) ni ngazi ya tatu ya ugatuzi. Nchi imegawanywa katika majimbo 14. Mikoa na Wilaya, imegawanywa katika tarafa 509. Tarafa zilianzishwa kwanza mwaka wa 1961.
Tarafa za Kodivaa (Kifaransa: Sous-préfectures de Côte d'Ivoire) ni ngazi ya tatu ya ugatuzi. Nchi imegawanywa katika majimbo 14. Mikoa na Wilaya, imegawanywa katika tarafa 509. Tarafa zilianzishwa kwanza mwaka wa 1961.