From Wikipedia, the free encyclopedia
Tabaini (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza "antithesis") ni tamathali yenye maelezo yanayokinzana lakini haibadilishi maana iliyokusudiwa awali.
Usemi wa namna hiyo unaweza kupendeza na kufanya sentensi iwe na hadhi ya sanaa.
Mifano:
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tabaini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.