![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/a4/Sylvester_Stallone_2012.jpg/640px-Sylvester_Stallone_2012.jpg&w=640&q=50)
Sylvester Stallone
From Wikipedia, the free encyclopedia
Sylvester Gardenzio Stallone[1] (amezaliwa tar. 6 Julai 1946), amepewa jina la utani kama Sly Stallone,[2] ni mshindi wa Tuzo za Academy - akiwa kama mwigizaji, mwongozaji na mwindishi-skrini bora wa filamu wa Kimarekani.
Ukweli wa haraka Amezaliwa, Kazi yake ...
Sylvester Stallone | |
---|---|
![]() Sylvester Stallone mnamo 2012 | |
Amezaliwa | Sylvester Gardenzio Stallone 6 Julai 1946 (1946-07-06) (umri 78) New York, Marekani |
Kazi yake | Mwigizaji, Mwongozaji, Mtunzi |
Miaka ya kazi | 1970–mpaka sasa |
Ndoa | Sasha Czack (1974–1985) Brigitte Nielsen (1985–1987) Jennifer Flavin (1997–mpaka sasa) |
Funga
Huyu ni mmoja kati wa watu walioingiza fedha nyingi sana katika sanduku la ofisi kwa miaka ya 1970 na 1990. Sylvester Stallone, ni kioo na shujaa wa filamu za mapigano. Amecheza nyusika mbili ambazo ni mashuhuri sana: Rocky Balboa, mwana-masumbwi mmoja aliyeshinda mashindano kwa kupigana kwa upenzi na imani, na John Rambo, askari shupavu aliyefanya kazi za hatari vitani.