From Wikipedia, the free encyclopedia
Sweta (kutoka neno la Kiingereza cha Kimarekani "sweater"[1]) ni vazi au nguo inayovaliwa hasa kipindi cha baridi kwa ajili ya kutunza joto la mwili katika kifua na mikono.
Huvaliwa katika sehemu zenye baridi kidogo, kwa sababu katika sehemu zenye baridi kali watu hupendelea kuvaa makoti kwa kuwa yanatunza joto zaidi: makoti huwezi kuyafananisha na masweta kwani ni mazito kutegemea jinsi lilivyo tengenezwa
Hata hivyo wanaokaa sehemu za baridi, wengine huvaa masweta na makoti pamoja ili kulinda afya.
Kama kawaida masweta pia sasa yamekuwa kama mtindo mpya barani Afrika, kwa kuwa idadi ya wavaaji imeongezeka zaidi, tofauti na mwanzo.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.