Stella Ikupa Alex
Mwanasiasa kutoka Tanzania, Mhasibu na Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi / From Wikipedia, the free encyclopedia
Stella Ikupa Alex (amezaliwa tarehe 1 Oktoba 1979) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti Maalumu kwa miaka 2015 – 2020. [1]