Sinop (Uturuki)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Sinop (Kigiriki: Σινώπη au Sinópe) ni jina la mji uliopo katika pwani ya Bahari Nyeusi huko kaskazini mwa nchi ya Uturuki. Mji una wakazi wapatao 47,000. Mji huu kihistoria unajulikana kama Sinope. Pia, huu ndio mji mkuu wa Mkoa wa Sinop.