From Wikipedia, the free encyclopedia
Sinop ni jina la kutaja mkoa uliopo nchini Uturuki, katika eneo la Bahari Nyeusi. Mji umechukua eneo la kilomita za mrabva zipatazo 5,862. Mikoa inayopakana na mkoa huu ni pamoja na Kastamonu kwa upande wa magharibi, Çorum kwa upande kusini, na Samsun kwa upande wa kusini-mashariki mwa nchi. Mji mkuu wa mkoa huu ni Sinop.
Mkoa wa Sinop | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Sinop nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Bahari Nyeusi |
Eneo: | 5,862 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 185,891 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 57 |
Kodi ya eneo: | 0484 |
Tovuti ya Gavana | http://www.sinop.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/sinop |
Mkoa wa Sinop umegawanyika katika wilaya 9 (mji mkuu umekoozeshwa):
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Sinop kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.