SibitiFrom Wikipedia, the free encyclopedia Sibiti ni mji uliopo katika Jamhuri ya Kongo, mkoa wa Lekoumou. Ndio makao makuu ya mkoa huo. Mwaka 2007 idadi ya watu ilikadiriwa kuwa 22,951 [1].
Sibiti ni mji uliopo katika Jamhuri ya Kongo, mkoa wa Lekoumou. Ndio makao makuu ya mkoa huo. Mwaka 2007 idadi ya watu ilikadiriwa kuwa 22,951 [1].