Kikwata
From Wikipedia, the free encyclopedia
Vikwata ni miti ya jenasi Senegalia katika familia Fabaceae yenye miiba iliyopinda na majani yenye sehemu nyingi. Zamani spishi hizi ziliainishwa katika jenasi Acacia lakini wanasayansi wamegawanya jenasi hii kwenye jenasi tano: Acacia, Vachellia, Senegalia, Acaciella na Mariosousa[1]. Spishi za Senegalia zina miiba ilyopinda ambayo imetawanyika kwenye matawi. Miti hii inatokea maeneo kavu ya Afrika, Amerika, Asia na Australia.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi ...
Kikwata (Senegalia spp.) | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Kikwata kusi | ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Funga