Selulosi (kutoka neno la Kiingereza "cellulose"[1]) ni tishu iundayo sehemu kubwa ya miti na mimea mingine.

Thumb
Selulosi.

Kikemia inaundwa na sehemu nyingi za glukosi yenye fomula (C6H10O5)n zinazounganishwa kuwa molekuli ndefu (polima).

Selulosi inapatikana zaidi kwenye mimea ya rangi ya kijani na inatengeneza kiwambaseli cha mmea.

Selulosi haiwezi kuliwa na wanyama lakini spishi kadhaa, kama vile mchwa na ng'ombe, hutunza bakteria katika matumbo yao wanaovunja molekuli za selulosi kwa sehemu ndogo zaidi zinazoweza kumeng’enywa.

Tanbihi

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.