Mbinu za uzalishaji (kwa mfano umwagiliaji, matumizi ya mbolea)
Kuboresha uzalishaji wa kilimo kwa viwango na ubora (kwa mfano, uteuzi wa mazao na wanyama wanyamapori vinavyovumilia ukame, kukuza dawa mpya, teknolojia ya kuboresha mavuno)
Kubadilisha bidhaa asilia kuwa bidhaa zitumiwazo na wanunuzi wa mwisho (kwa mfano, uzalishaji, uhifadhi, na ufungaji wa bidhaa za maziwa)
Kinga dhidi ya ya athari mbaya za mazingira (kwa mfano, uharibifu wa udongo, kushughulika taka)
Ekolojia ya uzalishaji
Uzalishaji wa chakula na mahitaji ya kimataifa, kwa kuzingatia maendeleo katika nchi wazalishaji wakuu, kama vile China, India, Brazil, Marekani na Umoja wa Ulaya.
Sayansi anuwai zinazohusiana kilimo na mazingira (kwa mfano sayansi ya udongo, taaluma ya hali ya hewa kwa kilimo); biolojia ya mazao ya kilimo na mifugo; nyanja kama uchumi wa kilimo na sosholojia ya vijijini; taaluma mbali mbali zilizojumuishwa katika uhandisi wa kilimo.
Vavilov Nicolai I. (Starr Chester K. editor), The Origin, Variation, Immunity and Breeding of Cultivated Plants. Selected Writings, in Chronica botanica, 13: 1–6, Waltham, Mass., 1949–50
Vavilov Nicolai I., World Resources of Cereals, Leguminous Seed Crops and Flax, Academy of Sciences of Urss, National Science Foundation, Washington, Israel Program for Scientific Translations, Jerusalem 1960
Winogradsky Serge, Microbiologie du sol. Problèmes et methodes. Cinquante ans de recherches, Masson & c.ie, Paris 1949