![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/0/0e/Hyakuninisshu_068.jpg/640px-Hyakuninisshu_068.jpg&w=640&q=50)
Sanjo wa Japani
From Wikipedia, the free encyclopedia
Sanjo (5 Februari, 976 ā 5 Juni, 1017) alikuwa mfalme mkuu wa 67 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Iyasada, na alikuwa mwana wa pili wa Tenno Reizei. Mwaka wa 1011 alimfuata binamu yake, Tenno Ichijo, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 1016. Aliyemfuata kama Tenno ni binamu yake, Go-Ichijo.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/0/0e/Hyakuninisshu_068.jpg/320px-Hyakuninisshu_068.jpg)