![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/0/0d/Emperor_Ichij%25C5%258D.jpg/640px-Emperor_Ichij%25C5%258D.jpg&w=640&q=50)
Ichijo wa Japani
From Wikipedia, the free encyclopedia
Ichijo (15 Julai, 980 – 25 Julai, 1011) alikuwa mfalme mkuu wa 66 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Kanehito, na alikuwa mwana wa pekee wa Tenno En'yu. Mwaka wa 986 alimfuata binamu yake, Tenno Kazan, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 1011, siku chache tu kabla ya kifo chake. Aliyemfuata kama Tenno ni binamu yake, Sanjo.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/0/0d/Emperor_Ichij%C5%8D.jpg/640px-Emperor_Ichij%C5%8D.jpg)