Sani AbachaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Jenerali Sani Abacha (20 Septemba 1943 – 8 Juni 1998) alikuwa kiongozi wa kijeshi na mwanasiasa wa Nigeria. Kuanzia mwaka wa 1993 hadi kifo chake mwaka wa 1998 alikuwa Rais wa kumi wa nchi hiyo.
Jenerali Sani Abacha (20 Septemba 1943 – 8 Juni 1998) alikuwa kiongozi wa kijeshi na mwanasiasa wa Nigeria. Kuanzia mwaka wa 1993 hadi kifo chake mwaka wa 1998 alikuwa Rais wa kumi wa nchi hiyo.