From Wikipedia, the free encyclopedia
San Luis Potosí ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexico upande wa Mexico ya kati-kaskazini ya nchi.
Mji mkuu na mji mkubwa ni San Luis Potosí. Imepakana na Coahuila, Nuevo León, Veracruz, Hidalgo, Querétaro, Guanajuato na Zacatecas. Jimbo lina wakazi wapatao 2,410,414 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 63,068.
Jina la jimbo lilitolewa kwa heshima ya Mfalme Louis IX wa Ufaransa.
Chuo kikuu kikubwa ni Universidad Autonoma de San Luis de Potosí (Chuo Kikuu Huria cha San Luis Potosí).
Estado de San Luis Potosí Sitio oficial Archived 19 Agosti 2019 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu San Luis Potosí (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.