mchezaji wa mpira wa miguu nchini Hispania From Wikipedia, the free encyclopedia
Samuel Chukwueze (alizaliwa Umuahia, Nigeria, 22 Mei 1999) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Hispania katika klabu ya Villareal kwenye ligi La Liga.
Mchezaji huyu ana urefu wa mita 1.72 na ana uzito wa kilo 70.
Chukwueze alizaliwa Umuahia katika jimbo la Abia,anatokea katika kabila la Igbo ni mkristo na kaka wa ndugu wawili wa kike na kiume, alisoma katika chuo cha serikali cha Government College Umuahia na elimu ya upili aliipata katika shule ya Evangel Secondary School, alianza kucheza mpira wa miguu akiwa na umri wa miaka 8 na alivutiwa zaidi na mcheza Jay-Jay Okocha na kuwa chanzo cha maendeleo katika mchezo wake wa mpira wa miguu,alikulia katika mikono ya Victor Apugo alomchukulia kama baba yake katika tasnia ya michezo .[1][2]
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.