Salvatore Schillaci
From Wikipedia, the free encyclopedia
Salvatore Schillaci (alizaliwa 1 Desemba 1964) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Italia. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Italia.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/1/10/Salvatore_Schillaci.jpg/200px-Salvatore_Schillaci.jpg)
Schillaci ameichezea timu ya taifa ya Italia tangu mwaka wa 1990. Schillaci alicheza Italia katika mechi 16, akifunga mabao 7.[1]