![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/0/09/Theater_of_Salamis%252C_Cyprus.jpg/640px-Theater_of_Salamis%252C_Cyprus.jpg&w=640&q=50)
Salami
From Wikipedia, the free encyclopedia
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/0/09/Theater_of_Salamis%2C_Cyprus.jpg/640px-Theater_of_Salamis%2C_Cyprus.jpg)
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/b/b1/Gymnasion_und_Therme_aus_S%C3%BCdwest.jpg/640px-Gymnasion_und_Therme_aus_S%C3%BCdwest.jpg)
Salami (kwa Kigiriki cha zamani: Σαλαμίς, cha kisasa: Σαλαμίνα) ulikuwa mji-dola la Wagiriki mashariki mwa kisiwa cha Cyprus, kwenye mdomo wa mto Pedieos, km 6 kaskazini kwa Famagusta ya leo.
Salami ilikuwa shabaha ya kwanza ya umisionari wa Mtume Paulo na Barnaba mwaka 45 hivi (Mdo 13:1-5).
Mapokeo yanasema Barnaba, baada ya kuinjilisha nchi nyingine, aliuawa huko kwa kupigwa mawe mwaka 61.