Sadifa Juma Khamis
Mbunge kutoka Tanzania / From Wikipedia, the free encyclopedia
Sadifa Juma Khamis (amezaliwa tarehe 07 Februari 1982) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Donge kwa miaka 2015 – 2020. [1]