Mwanasiasa wa Afrika Kusini (1925-1982) From Wikipedia, the free encyclopedia
Ruth First (4 Mei 1925 - 17 Agosti 1982) alikuwa mwanaharakati na mwandishi wa Afrika Kusini. Mwaka wa 1963, kwa vile aliandika dhidi ya ubaguzi wa rangi alikamatwa na kutiwa ndani bila kesi. Alikuwa mhariri wa magazeti mbalimbali zilizopigwa marufuku, kama The Guardian, New Age na Fighting Talk. Alihamia Uingereza na baadaye Msumbiji ambapo alifundisha katika Chuo Kikuu cha Maputo. Aliuawa na bomu lililofichwa ndani ya kifurushi cha posta.
Ruth First | |
[[Image:|225px|alt=]] | |
Amezaliwa | 4 Mei 1925 Johannesburg, Afrika Kusini |
---|---|
Amekufa | 17 Agosti 1982 Msumbiji |
Kazi yake | Mwanaharakati, Mwandishi |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ruth First kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.