![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/9/9d/RichardWagner.jpg/640px-RichardWagner.jpg&w=640&q=50)
Richard Wagner
From Wikipedia, the free encyclopedia
Richard Wagner (Leipzig, Ujerumani, 22 Mei 1813 - Venezia, Italia, 13 Februari 1883) alikuwa mtunzi wa sanaa mbalimbali za muziki na michezo (opera) kutoka nchini Ujerumani. Alikuwa mmoja kati ya watunzi muhimu wa miziki ya mapenzi kwa kipindi cha karne ya 18-19. Mbali na miziki aliyotunga akiwa kama mwanafunzi vilevile ameandika tunzi kumi tofauti za sanaa mbalimbali (opera) ambazo leo hii zinatumika katika majumba ya sanaa duniani.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/9/9d/RichardWagner.jpg/640px-RichardWagner.jpg)