Rasi ya KolaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Rasi ya Kola (kwa Kirusi Ко́льский полуо́стров kolsky poluostrov) ni rasi iliyoko kaskazini magharibi mwa Urusi. Sehemu kubwa ya maeneo ya Obmansk Oblast iko humo. [1] Eneo la rasi ni km2 100000, linganisha Murmansk Oblast jumla km2 144900. Rasi ya Kola katika Urusi Rasi ya Kola kati ya Bahari ya Barents (kaskazini) na Bahari Nyeupe Bandari ya Murmansk Ziwa la Imandra, nyuma milima ya Chibiny Bweha aktiki ana rangi inayolingana na theluji
Rasi ya Kola (kwa Kirusi Ко́льский полуо́стров kolsky poluostrov) ni rasi iliyoko kaskazini magharibi mwa Urusi. Sehemu kubwa ya maeneo ya Obmansk Oblast iko humo. [1] Eneo la rasi ni km2 100000, linganisha Murmansk Oblast jumla km2 144900. Rasi ya Kola katika Urusi Rasi ya Kola kati ya Bahari ya Barents (kaskazini) na Bahari Nyeupe Bandari ya Murmansk Ziwa la Imandra, nyuma milima ya Chibiny Bweha aktiki ana rangi inayolingana na theluji