Rasi DelgadoFrom Wikipedia, the free encyclopedia Rasi Delgado (kwa Kireno: Cabo Delgado) ni rasi mwambaoni mwa Bahari Hindi iliyoko kaskazini kabisa mwa pwani ya Msumbiji. Rasi Delgado katika Msumbiji Rasi Delgado iko takriban km 40 kusini kwa mji wa Mtwara, Tanzania. Mji mdogo wa Quionga umo rasini.
Rasi Delgado (kwa Kireno: Cabo Delgado) ni rasi mwambaoni mwa Bahari Hindi iliyoko kaskazini kabisa mwa pwani ya Msumbiji. Rasi Delgado katika Msumbiji Rasi Delgado iko takriban km 40 kusini kwa mji wa Mtwara, Tanzania. Mji mdogo wa Quionga umo rasini.