From Wikipedia, the free encyclopedia
Raúl Modesto Castro Ruz (amezaliwa 3 Juni, 1931) ni mwanasiasa wa nchi ya Kuba.
Kuanzia miaka ya 1950 alikuwa mwanaharakati akipinga udikteta wa jenerali Fulgencio Batista.
Baada ya kushinda vita dhidi ya Batista mwaka wa 1959, akawa waziri wa jeshi ndani ya serikali ya Kuba.
Tangu mwaka 2006 alimfuata kaka yake Fidel Castro kuwa rais wa nchi.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Raúl Castro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.