From Wikipedia, the free encyclopedia
Querétaro (jina rasmi: Santiago de Querétaro) ni mji mkuu na mji mkubwa katika jimbo la Querétaro upande wa kati ya nchi Mexiko. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 596,450 wanaoishi katika mji huu. Uneo lake ni 759.9 km².
Jiji la Querétaro | |
Nchi | Mexiko |
---|---|
Jimbo | Querétaro |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 596,450 |
Tovuti: www.municipiodequeretaro.gob.mx |
Mji upo m 1,820 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Mji ulianzishwa na Waconquistador mwaka 1531.
.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Querétaro, Querétaro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.