PomeraniaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Pomerania (Pomorze, Pommern, Pòmòrskô) ni eneo la kihistoria Kusini kwa Bahari ya Baltiki. Ngao ya Pomerania. Mgawanyo wa Pomerania. Kwa sasa imegawanywa kati ya nchi za Polandi na Ujerumani. Miji mikubwa ni Gdańsk na Szczecin.
Pomerania (Pomorze, Pommern, Pòmòrskô) ni eneo la kihistoria Kusini kwa Bahari ya Baltiki. Ngao ya Pomerania. Mgawanyo wa Pomerania. Kwa sasa imegawanywa kati ya nchi za Polandi na Ujerumani. Miji mikubwa ni Gdańsk na Szczecin.