Petrarca
From Wikipedia, the free encyclopedia
Francesco Petrarca (matamshi wa Kiitalia: franˈtʃesko peˈtrarka; Arezzo, 20 Julai 1304 – Arquà, Padua, 18/19 Julai 1374) alikuwa mshairi wa Italia wakati wa mwanzo wa Renaissance[1].
Katika karne ya 16, Pietro Bembo alisanifisha Kiitalia kwa kutegemea maandishi ya Petrarca na Giovanni Boccaccio, hata kuliko yale ya Dante Alighieri.[2]