Peter Utaka
Mchezaji wa soka wa Nigeria / From Wikipedia, the free encyclopedia
Peter Utaka (alizaliwa 12 Februari 1984) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Nigeria. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Nigeria.
Utaka ameichezea timu ya taifa ya Nigeria tangu mwaka wa 2010. Utaka alicheza Nigeria katika mechi 8, akifunga mabao 3.[1]