Papa Julius III
Papa wa kanisa la katoliki, 1550 mpaka 1555 / From Wikipedia, the free encyclopedia
Papa Julius III (10 Septemba 1487 – 23 Machi 1555) alikuwa Papa kuanzia tarehe 7 Februari 1550 hadi kifo chake[1]. Alitokea Roma, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Maria Ciocchi del Monte.
Alimfuata Papa Paulo III akafuatwa na Papa Marcello II.