Papa Innocent VIII
From Wikipedia, the free encyclopedia
Papa Innocent VIII (1432 – 25 Julai 1492) alikuwa Papa kuanzia tarehe 29 Agosti/12 Septemba 1484 hadi kifo chake[1]. Alitokea Genova, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Battista Cibo.
Alimfuata Papa Sixtus IV akafuatwa na Papa Aleksanda VI.