PPSSPP
From Wikipedia, the free encyclopedia
PPSSPP ni mchezo wa kompyuta uliotolewa mnamo Novemba 1, 2012 kwa leseni chini ya GNU GPLv2 au baadaye.
Ukweli wa haraka Mwandishi wa kwanza, Wandishi wa sasa ...
PPSSPP 1.0.1-2635-g62b3484 main interface.png PPSSPP v1.0.1-2635 running on Fedora 22 | |
Mwandishi wa kwanza | Henrik Rydgård (a.k.a. hrydgard) |
Wandishi wa sasa | PPSSPP Team |
Tarehe ya kwanza | Novemba 1, 2012; miaka 11 iliyopita (2012-11-01) |
Imeendelea | 1.8.0 / Machi 14, 2019; miaka 5 iliyopita (2019-03-14)[1] |
Hali ya sasa | Active |
Lugha kompyuta | C++, C[2] |
Mfumo wa uendeshaji | Windows, macOS, Linux, iOS, Android, BlackBerry 10, Symbian |
Mazingira ya kompyuta | IA-32, x86-64, ARM, ARM64 |
Ukubwa wa faili | 16.1 MB: Windows 32-bit 17.8 MB: Windows 64-bit 19.7 MB: macOS 64-bit 28.2 MB: Android 10.0 MB: BlackBerry 10 9.2 MB: Symbian 13.4 MB: Source code |
Lugha | 38 languages
|
Aina ya programu | Video game console emulator |
Leseni ya programu | GNU GPLv2+ |
Funga
Mradi wa PPSSPP uliundwa na Henrik Rydgård, mmoja wa washiriki wa emulator wa Dolphin.
Kuanzia mwezi wa Machi 2017, michezo 984 umeweza kuchezeka katika PPSSPP.