Osogovo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Osogovo ni safu ya milima ya Balkani (Ulaya), kati ya nchi za Bulgaria na Jamhuri ya Masedonia Kaskazini.
Urefu wa kilele chake kirefu zaidi kiitwacho Ruen ni mita 2,251 juu ya usawa wa bahari.