OrigenFrom Wikipedia, the free encyclopedia Origen, kwa Kigiriki Ὠριγένης Ōrigénēs, (185 - 253), mwana wa mfiadini Leonidas wa Aleksandria, alikuwa padri kutoka Aleksandria (Misri) aliyehamia Kaisarea (Palestina) na kuendeleza kazi yake kama mtaalamu maarufu wa Biblia.[1][2][3][4][5]. Origen.
Origen, kwa Kigiriki Ὠριγένης Ōrigénēs, (185 - 253), mwana wa mfiadini Leonidas wa Aleksandria, alikuwa padri kutoka Aleksandria (Misri) aliyehamia Kaisarea (Palestina) na kuendeleza kazi yake kama mtaalamu maarufu wa Biblia.[1][2][3][4][5]. Origen.